{"id":48836,"date":"2024-04-24T08:30:10","date_gmt":"2024-04-24T08:30:10","guid":{"rendered":"https:\/\/qnetafrica2stg.wpenginepowered.com\/?post_type=qnet_answers&#038;p=48836"},"modified":"2024-04-24T08:30:11","modified_gmt":"2024-04-24T08:30:11","slug":"je-ninaweza-kuanza-kupata-mapato-kwa-haraka-kwa-qnet","status":"publish","type":"qnet_answers","link":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/majibu-ya-qnet\/je-ninaweza-kuanza-kupata-mapato-kwa-haraka-kwa-qnet\/","title":{"rendered":"Je, ninaweza kuanza kupata mapato kwa haraka kwa QNET?"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Uuzaji wa moja kwa moja ni biashara kama biashara nyingine yoyote. Sio mpango wa kupata utajiri wa haraka. Ili kufanikiwa katika biashara hii, unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kuwa na subira na kujitolea, na kuwa na malengo. Biashara hii inakupa fursa ya kuwa mjasiriamali. Tofauti pekee ni kwamba huna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya gharama kubwa ya kuanza na uendeshaji kama katika biashara ya kawaida. Mafanikio yako yanategemea kabisa na bidii unayoiweka.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Uuzaji wa moja kwa moja ni biashara kama biashara nyingine yoyote. Sio mpango wa kupata utajiri wa haraka. Ili kufanikiwa katika biashara hii, unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kuwa na subira na kujitolea, na kuwa na malengo. Biashara hii inakupa fursa ya kuwa mjasiriamali. Tofauti pekee ni kwamba huna haja ya kuwa na wasiwasi juu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"featured_media":0,"template":"","faqs":[3359,3368],"class_list":["post-48836","qnet_answers","type-qnet_answers","status-publish","faqs-biashara-ya-qnet","faqs-mapato-katika-qnet"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/qnet_answers\/48836","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/qnet_answers"}],"about":[{"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/qnet_answers"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/qnet_answers\/48836\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=48836"}],"wp:term":[{"taxonomy":"faqs","embeddable":true,"href":"https:\/\/africa.qnet.net\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/faqs?post=48836"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}