Hujui pa kuanzia?
Iwe wewe ni chipikizi au gwiji wa mauzo ya moja kwa moja, tupo Pamoja katika safari ya kuboresha ustadi wako na kukuwezesha kushinda katika ulimwengu wa uuzaji wa moja kwa moja.
#1 Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
Jifunze taarifa muhimu kuhusu QNET na ugundue jinsi inavyoweza kubadilisha maisha yako.
Fahamu taarifa muhimu kuhusu QNET na ugundue jinsi inavyoweza kubadilisha maisha yako.
HATUA YA 2
#2 Nimejiandikisha Hivi Punde
Pata maelezo yote unayohitaji kama Mwakilishi mpya wa Kujitegemea na uanze safari yako ya QNET
#3 Mauzo yangu ya kwanza
Pata mikakati na nyenzo madhubuti ili upate ujuzi wa kuuza
Pata mikakati na rasilimali madhubuti za kumudu sanaa ya kutafuta wateja na kufunga mauzo kwa ustadi
HATUA YA 4
#4 Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
Pata maarifa na rasilimali ili kuunda timu ya mauzo inayofanya kazi vizuri na kukuza ukuaji wa biashara
Tunatumia vidakuzi kuendesha tovuti hii na kuelewa jinsi inavyotumika. Sera ya Faragha