Hujui pa kuanzia?
Iwe wewe ni chipikizi au gwiji wa mauzo ya moja kwa moja, tupo Pamoja katika safari ya kuboresha ustadi wako na kukuwezesha kushinda katika ulimwengu wa uuzaji wa moja kwa moja.
#1 Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
Jifunze taarifa muhimu kuhusu QNET na ugundue jinsi inavyoweza kubadilisha maisha yako.
#2 Nimejiandikisha Hivi Punde
Pata maelezo yote unayohitaji kama Mwakilishi mpya wa Kujitegemea na uanze safari yako ya QNET
#4 Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
Pata maarifa na rasilimali ili kuunda timu ya mauzo inayofanya kazi vizuri na kukuza ukuaji wa biashara
Sign in to your account