Kila kifaa cha HomePure Viva huja na:
- Njia (modes) 11 maalum
- Bomba la kutoa maji linalonyumbulika
- Skrini kubwa ya TFT (LCD ya rangi kamili yenye mguso)
- Kipengele cha sauti katika lugha 8
- Mfumo wa uchujaji wa hatua 5 kupitia vichujio viwili (2) vilivyofungwa
- Mfumo wa kujisafisha kiotomatiki
- Kioniza maji cha kiwango cha juu chenye sahani 9, zenye elektrodi za titani zilizofunikwa kwa platinamu