Tunaleta kwenu saa za Cimier za QNETCity
Tunafurahi kuleta kwenu Mkusanyiko wa saa za mkononi za Cimier QNETCity za kifahari zilizoundwa kama heshima ya ushirikiano wa QNET na Klabu ya Soka Manchester City. Ushirikiano wetu umepiga hatua…
Nini cha Kutarajia Unapotumia EDG3
Hivi karibuni tulizungumza juu ya Faida za EDG3 kama ilivyoshuhudiwa na wasambazaji huru wetu. EDG3 inakubalika sana kati ya wasambazaji na wateja wa rejareja kwa sababu ina watangulizi wenye nguvu…
Kampuni ya biashara ya Mitandaoni Asia yafikia wasiojiweza katika jamii
Kampuni ya biashara ya Mtandaoni Asia yafikia wasiojiweza katika jamii kama sehemu ya maadhimisho ya Ramadhan. Kama sehemu ya kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, QNET wiki hii ilinyosha mkono wa…
QNET yanyosha mkono kwa yatima
Waongozaji wa biashara za mtandaoni Asia wanyosha mkono kwa watoto yatima. Watoto katika vituo viwili vya kulelea watoto yatima jijini Dar es Salaam na Zanzibar wamenufaika na msaada wa vitu…
QNET imetangaza mipango ya kupanua shughuli zake katika soko la Kenya
Waongozaji wa biashara za mtandaoni Asia,QNET imetangaza mipango ya kupanua shughuli zake katika soko la Kenya. "Soko la Kenya, Uganda na Tanzania tayari lina idadi kubwa ya wateja na kutokana…
QNET yashinda kwenye Tuzo za 27 za Mwaka za Mawasiliano
Tunayofuraha kutangangaza kwamba QNET imeshinda tuzo kubwa katika Tuzo za 27 za Mwaka za Mawasiliano. Programu inayoongoza ya tuzo za kimataifa inayochujwa na Chuo cha Sanaa ya Kuonekana ambayo ni…
Ufanano kati ya Uuzaji wa moja kwa moja na Soka
Unaweza kufikiria kuwa michezo na biashara hazichanganyiki, lakini kufanana kati ya kuuza moja kwa moja na mpira wa miguu kunavutia. Haishangazi kwamba QNET na Manchester City ni washirika wa karibu…
Matukio ya ushindi ya Ushirikiano wetu wa QNET-ManCity
View this post on Instagram A post shared by Manchester City (@mancity) QNET na ManCity inasherehekea mafanikio mengine makubwa ya Klabu ya Soka. Manchester City imetawazwa mabingwa wa Ligi Kuu…
Manchester City ni Mabingwa wa Ligi Kuu 2020-21
Pongezi za dhati kwa Mabingwa mara tano wa Ligi Kuu ya Uingereza na washirika wetu Manchester City! Hivi sasa wako alama 12 mbele ya wapinzani wao wa karibu, ikimaanisha kuwa…
QNET Yashinda Katika Tuzo za Communitas za mwaka 2021
Tuzo za Communitas za 2021 zimetaja QNET kama mmoja wa washindi katika kitengo cha Uongozi katika Huduma ya Jamii na Uwajibikaji wa jamii kwa kiingilio QNET inatoa kwa jamii kupitia…
Ujumbe Mzuri Wa Kuandika katika Kadi Ya Siku Ya Mama Duniani
Wakati huu tayari umeshapanga zawadi nzuri na kuiandaa siku yake kua ya kipekee na kumpa wakati mzuri Mama yako. Kinachokosekana ni kadi nzuri ya kumuonyesha jinsi unampenda. Iwe unasherehekea na…
Safari yako ya afya na ustawi huanza na mkufu wa nishati, Chi Pendant 4
Tunaishi katika ulimwengu wa mionzi iliyokithiri, ingawa maendeleo ya kiteknolojia na njia bora za mawasiliano zimewanufaisha wanadamu, zimesababisha athari mbaya zinazohusiana na miili yetu kuambukizwa mara kwa mara na mionzi.…