Panga mwaka wako na mipanho ya mbeleni kwa Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022. Ukitazama nyuma, mwaka wa 2021, anza kupanga mipango ya mafanikio yako kwaajili ya mwaka mpya ujao. Pata maelezo kuhusu jinsi wiki zako za mauzo zitakavyokuwa mwaka wa 2022 na uanze kufikiria jinsi ya kufanya vizuri zaidi katika safari yako ya kuuza moja kwa moja ukitumia QNET.
Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022
Maana ya maneno ya Kalenda ya Mauzo Yamefafanuliwa
Katika kalenda hii, unaweza kuona:
- Wiki ya Mauzo: QNET hulipa kamisheni kila wiki, kumaanisha kwamba tumegawa mwaka katika wiki za mauzo. Kwa kawaida, wiki ya mauzo huanza kila Jumamosi saa 00:00 HKST na kumalizika kila Ijumaa saa 23:59 HKST.
- Mwezi wa Mauzo: Karibu sana na mwezi wa kawaida katika kalenda, mwezi wa mauzo unajumuisha wiki 4 au 5 za mauzo. Mwaka wa QNET una miezi 12 ya mauzo.
- Tarehe Zilizotumika za Mauzo: Hizi zinaonyesha tarehe kamili ambazo zimejumuishwa katika wiki yako ya mauzo. Hii ni ili unapopanga kabla ya mwaka wa 2022 wenye mafanikio, uwe na tarehe kamili.
Tunatumai kuwa, ukiwa na Kalenda hii ya Mauzo ya QNET ya 2022 mapema kutakusaidia kukupa msukumo wa kufanikisha mipango yako ya mwaka mpya. Usisahau kujenga katika kiwango cha kubadilika katika ratiba zako za mwaka mpya. Ikiwa tumejifunza chochote kutoka 2021, ni kuwa tayari kila wakati na kutafuta masuluhisho hata iweje. Anza kufafanua malengo yako ya mwaka mpya, yaweke rahisi, yafanye yaweze kupimika, na uyapange kwa kuzingatia kalenda hii ya mauzo. Mwaka wako wa 2022 utakuwa mzuri sana. Tuna hisi tayari.