QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: Nyimbo bora kwa wauzaji wa moja kwa moja Kuanzia 2021 (Hadi sasa)
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Habari > Matukio > Nyimbo bora kwa wauzaji wa moja kwa moja Kuanzia 2021 (Hadi sasa)
Matukio

Nyimbo bora kwa wauzaji wa moja kwa moja Kuanzia 2021 (Hadi sasa)

Last updated: February 5, 2025 10:13 am
QNET Official
Share
3 Min Read
nyimbo bora kwa wauzaji wa moja kwa moja
nyimbo bora kwa wauzaji wa moja kwa moja 1
SHARE

Ikiwa unatafuta nyimbo kwaajili ya wauzaji wa moja kwa moja ambazo zitakazo kuinua, kukuhamasish umekuja mahali pazuri. Tumekusanya nyimbo bora kwaajili ya Wasambazaji wetu wa wakubwa ambazo zitakusaidia kuvunja marudio yako ya kila siku, na kukupa wakati wa kujitunza, kutafakari au hata kufurahi. Hapa kuna nyimbo tunazopenda kwaajili ya wauzaji wa moja kwa moja iliyotolewa mwaka huu hadi sasa.

Contents
Butter – BTSWe Are The People – Martin Garrix feat. BonoLevitating – Dua Lipa Featuring DaBabyFreedom – John Batiste Enjoy Enjaami – Dhee ft. ArivuElectric – Kate Perry

Butter – BTS

Iliyorekodiwa na kundi la wanamuziki watanashati wa Korea- BTS, wimbo huu ni wimbo mzuri ambao huwezi kujizuia kuucheza. Wakati ilitolewa tu mnamo Mei, imekuwa gumzo kwenye mitandao kama wimbo wa msimu.

We Are The People – Martin Garrix feat. Bono

Wimbo rasmi wa UEFA EURO 2020 unachukua hali ya matumaini na kuleta hisia za kumbukumbu nzuri. Ni wimbo wenye mashairi ya kujirudia na kuvutia, mashairi kama “Sisi ni watu ambao tumekuwa tukingojea”, wimbo huu ni mzuri kwa watu wanaotafuta nyongeza ya motisha ya haraka kwenye safari yetu ya kuuza moja kwa moja.

Levitating – Dua Lipa Featuring DaBaby

Ikiwa unatafuta mazungumzo ya kujijenga kwa njia ya nyimbo, bilas haka wimbo huu utakupa msukumo mbele  na uthibitisho wake mzuri ambao utakusaidia kujisikia kama mwamba kama unavyopaswa kua. Hii ni moja ya nyimbo kwaajili ya wauzaji wa moja kwa moja ambao itakusaidia kujiamini

Freedom – John Batiste 

Baada ya mwaka na nusu ambao sote tumepitia kwa sababu ya janga la Covid-19, wimbo huu unaonekana kama wimbo mzuri wa kurudi kwenye maisha ya kawaida. Ikiwa unahisi kama kuvaa, kucheza, na kusherehekea kuwaona tena watu unaowapenda kibinafsi, wimbo huu ni wako.

Enjoy Enjaami – Dhee ft. Arivu

Wimbo huu wa Kitamil unapendwa sana kwa mwaka 2021 ukiwa na mdundo wa kuchangamka na maneno ambayo hukufanya ujisikie bahati kuwa hai. Wimbo unazungumza juu ya mambo yote mazuri ya maisha – nyimbo za ndege, ardhi yenye rutuba, wanafamilia wanaotabasamu. Na kisha anazungumza juu ya jinsi yote yanavyokuja pamoja kama timu moja kufanya maisha ya mazuri kweli kweli. Iwe unazungumza Kitamil au la, huu ni wimbo ambao unaweza kufurahiya.

Electric – Kate Perry

 

Wimbo wa hivi karibuni wa Katy Perry unaomuonesha katuni Pokémon, katuni pendwa ya utotoni (Pikachu) na masomo ya maisha kwa wauzaji wa moja kwa moja na wafanyabiashara waliojiajiri. “Ikiwa unaamini, hakuna sababu maisha haya hayawezi kuwa mazuri yenye kusisimua” ni imani tu unayohitaji kwenda nayo kutimiza malengo yako ya kila wiki!

Je! Ni nyimbo gani kati ya hizi kwaajili ya wauzaji wa moja kwa moja ulifurahiya kusikiliza? Je! Unachagua ipi kama wimbo wako? Hebu tujue kwenye maoni. Na usisahau kusambaza kwa marafiki na familia yako ya QNET.

Ukweli Kuhusu Uuzaji wa Moja Kwa Moja Na Uchumi
Ripoti ya WFDSA 2019 Inaonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuuza Moja kwa Moja
Kuuza moja kwa moja dhidi ya Kazi za Jadi za Kampuni – Amua Mshindi
Je! Fursa ya QNET ni gani Na ni Nini Kikubwa Kuhusu Fursa Hiyo?
Mabishano, na Swali la “Je! Ni Utapeli?”
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article MCFC QNET Announcement 2019 Manchester City yatangaza rasmi kuongeza mkataba
Next Article InternationalDayOfYogaQNETDirectSellingTips Masomo 5 Kutoka kwenye mazoezi ya Yoga Kutumia katika uuzaji Moja kwa Moja
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili