QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: Ujumbe Mzuri Wa Kuandika katika Kadi Ya Siku Ya Mama Duniani
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Habari > Ujumbe Mzuri Wa Kuandika katika Kadi Ya Siku Ya Mama Duniani
Habari

Ujumbe Mzuri Wa Kuandika katika Kadi Ya Siku Ya Mama Duniani

Last updated: May 8, 2021 6:19 pm
QNET Official
Share
4 Min Read
MothersDayMessagesCardGreetings
Mothers Day Messages Card Greetings 1
SHARE

Wakati huu tayari umeshapanga zawadi nzuri na kuiandaa siku yake kua ya kipekee na kumpa wakati mzuri Mama yako. Kinachokosekana ni kadi nzuri ya kumuonyesha jinsi unampenda. Iwe unasherehekea na mama yako mzazi au wanawake ambao ni kama mama kwako, Wakati huu ni muafaka kumshukuru kwa ujumbe mzuri wa kutoka moyoni. Ikiwa unajitahidi kuweka kwa maneno ni kwa kiasi gani mama yako anamaanisha kwako, tumeandaa orodha yenye jumbe nzuri za Siku ya Mama Duniani. 

Jumbe maalumu

Mothers Day Messages Mothers Day Greetings Mothers Day Quotes 1

Mama yako hawezi kubadilishwa, ni mkamilifu kwa njia yake yaki pekee. Muda wote hua nyuma yako akikuongoza na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa bila kujali nyakati au muda. 

Hizi ni jumbe za kipekee ambazo unaweza kutumia kumuambia mama yako jinsi unampenda kwa moyo wako wote.

  • Kuwa mtoto wako ilikuwa bahati nzuri, lakini kuwa na wewe kama rafiki yangu wa karibu ilikuwa chaguo. Asante kwa kuwa pale kwa ajili yangu kila hatua ya njia. Ulinilea, uliniunga mkono na unanikubali vile nilivyo. Ninajivunia kuwa na wewe kama mama yangu.
  • Ninataka kuchukua muda leo kukujulisha kwamba si shukuru tu kwa ajili yako, pia nakupenda kwa moyo wangu wote. Ikiwa nikabahatika kua hata nusu ya mtu kama wewe, nitakua mwenye furaha Zaidi duniani.
  • Umekuwa na ushawishi mzuri sana maishani mwangu. Ubunifu, shauku, uelewa – kuna mengi ya kujivunia juu yako. Asante kwa kujitoa kwangu wakati wote. Daima utakua wa kuigwa.

Ujumbe wa Kufurahisha

Mothers Day Messages Mothers Day Greetings Mothers Day Quotes 2

Ikiwa hupendelei kutumia njia ya hisia, ongeza ucheshi kwenye ujumbe wako. Chagua moja ya salamu hizi kumfanya acheke.

  • Mshauri, Dereva, Mwalimu, Mwamuzi, Rafiki, Mtaalam, Mpishi, Shujaa wa kiwango cha juu – Siku ya Leo natambua vyeo vyao vote.
  • Katika Siku hii ya Mama duniani, ningependa kukushukuru kwa kazi nzuri iliyofanya. Hongera kwa kunifanya kuwa wa kipekee sana! -Nakupenda, mtoto wako unayempenda zaidi.
  • Mpendwa mama, asante kwa kunivumilia haswa ikiwa ni mtoto mkorofi, mwenye kukasirisha, asiye na shukrani na mtundu kama ndugu yangu. Nawaombea msamaha, lakini angalau unae mimi. Nakupenda!

Nukuu za siku ya mama duniani 

Mothers Day Messages Mothers Day Greetings Mothers Day Quotes 3

Ongeza uzito kwenye ujumbe wako kwa mama yako na nukuu hizi. Ikiwa mama yako anapenda za kuchekesha au hata zenye kuleta hisia nzuri moyoni, basi hizi nukuu zitamfaa.

  • “Sio rahisi kuwa mama. Ingekua rahisi, baba wangeifanya ”- Dorothy, Wasichana wa Dhahabu

 

  • “Mungu hakuweza kuwa kila mahali, na kwa hivyo aliumba mama.”- Rudyard Kipling


  • “Mama yangu, ni mrembo, mtaratibu mwenye ukali wake, na mwenye mgongo wa chuma. Nikizeeka natamani kuwa kama yeye ”- Jodi Picoult

Awe ni mama anayefanya kazi, mama wa nyumbani, mama wa hiyari, mama wa mara ya kwanza, mama wa mbali, mama wa paka, mama wa mmea, bibi, mama wakufanania na mama, washauri au hata wanawake ambao ni Mama moyoni, hii ni fursa kwetu kumsherehekea mama na mwanamke yeyote kwenye nafasi hiyo. Tumia fursa hii kuwatumia mchanganyiko wa jumbe hizi ili Kuwaonyeshe jinsi unavyowapenda na kuwajali. Na kutoka kwetu QNET, Tunakutakia heri ya Siku Mama Duniani yenye Furaha. Tunakupenda na kukuthamini kuliko maneno yanaweza kusema!

 

Ukweli Kuhusu Uuzaji wa Moja Kwa Moja Na Uchumi
Ripoti ya WFDSA 2019 Inaonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuuza Moja kwa Moja
Kuangalia Nyuma Katika Miaka ishirini na moja (21) ya RYTHM Siku hii ya Wema Ulimwenguni
Kuuza moja kwa moja dhidi ya Kazi za Jadi za Kampuni – Amua Mshindi
Je! Fursa ya QNET ni gani Na ni Nini Kikubwa Kuhusu Fursa Hiyo?
TAGGED:FriendshipLifestyle
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNETChiPendantAmezcua Safari yako ya afya na ustawi huanza na mkufu wa nishati, Chi Pendant 4
Next Article Communitasleadership QNET Yashinda Katika Tuzo za Communitas za mwaka 2021
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili