V-Malaysia 2022 imekaribia – Mkutano wetu wa kwanza wa kibinafsi wa V-Convention baada ya miaka miwili! Tuna furaha kubwa kukukaribisha tena na tumetumia miezi na miezi kujiandaa kwa tukio hili la kipekee. Tutarudi kwa kishindo Pamoja na vitu vyako vyote uvipendavyo katika sehemu moja.
Nini cha Kutarajia Katika V-Malaysia 2022
Pamoja na hotuba za uhamasishaji wa hali ya juu, maonyesho ya hali ya juu, na mengine mengi, haya ndiyo unayoweza kutazamia katika Mkutano ujao wa V-Convention!
Maonesho ya QNET
Shuhudia maonesho yetu ya QNET kwa mara nyingine tena katika vibanda shirikishi, ofa za bidhaa, na mengine mengi. Unaweza kutumia bidhaa zetu za kuboresha maisha hapo hapo, kuzungumza na wafanyakazi wetu wa QNET, kufurahia shughuli za jukwaani na hata kukutana na IRs wenzako.
Mawasilisho ya Jukwaani
Pata uhamasisho katika jukwaa letu kuu la V-Malaysia 2022 kwa mawasilisho ya kusisimua kutoka QNET pamoja na mfululizo wa hotuba za uhamasishaji za kiwango cha kimataifa, ambayo ni muhimu kwa safari yako ya kuuza moja kwa moja. Shuhudia vipindi vya mafunzo pamoja na ushauri kutoka kwa VIP na Waanzilishi wetu wa QNET.
Uzinduzi wa Bidhaa
Kaa tayari kwaajili ya uzinduzi wa bidhaa mpya za kusisimua katika kipindi hiki cha V-Malaysia 2022. Kama ilivyo kwa Makutano yote ya V-Connect, tunazindua bidhaa na huduma ambazo tumezishughulikia kwa upendo katika miaka michache iliyopita.
Sherehe za kutoa Tuzo
Katika QNET, mara kwa mara unatuzwa kwa bidii yako na uaminifu. Katika jukwaa hili , ndipo mahali pazuri pa kuenzi safari na mafanikio ya Wafanisi wetu wakuu wa QNET. Watazame wakipokea sifa zao kubwa jukwaani mbele ya Familia ya QNET. Pia unaweza kuona wahitimu wa qLearn wakipokea diploma na vyeti vyao kutoka kwa QNET VIP moja kwa moja.
Mchezo wa QBuzz
Ukiwa katika foleni ya kuchukua bidhaa unazozipenda au kati ya mawasilisho, usisahau kucheza mchezo wetu mpya kabisa wa QBuzz. Jisajili QBuzz ili uifikie na uendelee kujivinjari na kuelimika.
Tunashauku ya kukuona uso kwa uso baada ya muda mrefu! Uko tayari? #VMalaysia2022