MAJIBU YA QNET

Je, ninaweza kuanza kupata mapato kwa haraka kwa QNET?

Uuzaji wa moja kwa moja ni biashara kama biashara nyingine yoyote. Sio mpango wa kupata utajiri wa haraka. Ili kufanikiwa katika biashara hii, unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kuwa na subira na kujitolea, na kuwa na malengo. Biashara hii inakupa fursa ya kuwa mjasiriamali. Tofauti pekee ni kwamba huna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya gharama kubwa ya kuanza na uendeshaji kama katika biashara ya kawaida. Mafanikio yako yanategemea kabisa na bidii unayoiweka.

Share This Article
Shule ya QNET inaitwaje

Tunashirikiana na taasisi nyingi duniani kote kuanzia Marekani, U.K, na Ulaya.

App au Programu ya qlearn ni ipi?

Kuishi katika ulimwengu ambao tuko safarini kila wakati programu ya qLearn inakupa urahisi wa kusoma mahali popote/wakati wowote kwenye kifaa…

Kozi zipi za qlearn ni bora zaidi?

qLearn inajitahidi kukuletea elimu bora zaidi kutoka duniani kote kuanzia Elimu ya Watoto, Ujuzi-wepesi, Kujifunza Lugha, na Elimu ya Masomo.…

Nawezaje kuingia kwenye tovuti ya elimu ya mtandao?

Nenda kwa www.myqlearn.net na uweke maelezo yako kutoka kwa barua yako ya kualikwa.

/** Don't load directly */ defined( 'ABSPATH' ) || exit; ?>