IR zetu ‘Hawauzi’ bidhaa na huduma kwa njia ya kiwaida. Wanapaswa tu kuelekeza bidhaa na huduma zetu kwa wateja watarajiwa na hulipwa kwa kamisheni wateja kama hao wanaponunua na kwa mujibu wa mpango wetu wa fidia. Bei za bidhaa zimewekwa. IR haiwezi kudhibiti au kuathiri bei kwa njia yoyote. Mteja mpya hufanya ununuzi moja kwa moja kutoka kwa kampuni.
Je, wawakilishi huru wana uhuru wa kuamua bei ya bidhaa?
Shule ya QNET inaitwaje
Tunashirikiana na taasisi nyingi duniani kote kuanzia Marekani, U.K, na Ulaya.
App au Programu ya qlearn ni ipi?
Kuishi katika ulimwengu ambao tuko safarini kila wakati programu ya qLearn inakupa urahisi wa kusoma mahali popote/wakati wowote kwenye kifaa…
Kozi zipi za qlearn ni bora zaidi?
qLearn inajitahidi kukuletea elimu bora zaidi kutoka duniani kote kuanzia Elimu ya Watoto, Ujuzi-wepesi, Kujifunza Lugha, na Elimu ya Masomo.…
Nawezaje kuingia kwenye tovuti ya elimu ya mtandao?
Nenda kwa www.myqlearn.net na uweke maelezo yako kutoka kwa barua yako ya kualikwa.