QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: QNET kuwa miongoni mwa Paneli Maarufu Katika Mkutano wa Microsoft Cybersecurity
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Habari > Matukio > QNET kuwa miongoni mwa Paneli Maarufu Katika Mkutano wa Microsoft Cybersecurity
Matukio

QNET kuwa miongoni mwa Paneli Maarufu Katika Mkutano wa Microsoft Cybersecurity

Last updated: February 5, 2025 10:02 am
QNET Official
Share
3 Min Read
QNET MICROSOFT
QNETxMICROSOFT
SHARE

Afisa Mkuu wa Habari wa QNET (CIO) Ivan Woo alijiunga na Mkutano wa Microsoft Cybersecurity Summit 2021  huko Hong Kong kama sehemu ya jopo la wataalamu na wenye sauti kuu kuhusu usalama wa mtandao.  Jopo lililenga kupunguza hatari za mtandaoni na kuimarisha usalama mtandaoni kwa mwaka mpya ujao.  Kutokana na Covid-19, hali mseto za kufanya kazi zimewaweka watu kwenye hatari za usalama mtandaoni.  CIO wa QNET alikuwa mmoja wa watu wachache ambao utaalamu wao ulitafutwa ili kujadili matatizo na kupata ufumbuzi wa pamoja.

Contents
Mkutano wa Microsoft Cybersecurity ni Nini?Majadiliano ya Jopo Na Afisa Mkuu wa Habari wa QNET Ivan Woo
Mkutano wa Microsoft Cybersecurity ni Nini?

Ukiwa umeandaliwa Hong Kong, Mkutano wa Microsoft Cybersecurity 2021 ni jukwaa linalolenga kuelewa mbinu na mienendo bora ili kuweka watu na mashirika salama kutokana na hatari za usalama mtandaoni.  Wanajopo hao ni pamoja na watu wazito wa tasnia kama vile Mshauri Mkuu wa Usalama wa Mtandao wa Microsoft na Afisa wao wa Kitaifa wa Teknolojia, na CIO wetu, Ivan Woo.  Walijadili mikakati dhidi ya vitisho vya ndani na mbinu za kulinda mali yako ya kidijitali.

Majadiliano ya Jopo Na Afisa Mkuu wa Habari wa QNET Ivan Woo

Kama mtu anayesimamia utendaji wa Global IT na Uzoefu wa Dijitali katika QNET, Ivan alichaguliwa kama mwakilishi kamili wa jopo, ili kuangazia ushirikiano wa Microsoft-QNET.

CIO wa QNET iliongoza mijadala kuhusu vipaumbele muhimu vya kua usalama  mtandaoni mwaka 2022, na jinsi ya kukaa salama katika ulimwengu wa mseto wakati wengi wetu wamelazimika kufanya kazi nyumbani.  Ameongoza mipango kadhaa muhimu ya mabadiliko ya kidijitali katika QNET ambayo ilijumuisha uhamiaji wa kutumia teknolojia ya “Cloud”, utekelezaji wa mkakati wa kwanza wa simu za mkononi, na mipango madhubuti ya usalama wa data, akilenga katika kuhakikisha wasambazaji wetu sio tu wanapata uzoefu bora wa biashara ya mtandaoni, lakini pia usalama zaidi.

Kuhusiana na mtazamo wa QNET kuhusu usalama, Ivan ana haya ya kusema “pamoja na karibu familia zetu zote za QNET, washirika, na wateja kulazimishwa kukumbatia mtandao kwa mahitaji yao, watu wa IT lazima wajitokeze na kuchukua majukumu ya uelimishaji. Wanapaswa kueleza hatari na kuwaelimisha watumiaji kuhusu umuhimu wa usalama mtandaoni na jinsi ya kuchukua hatua ili kuwa salama.  QNET inaelewa hili na tutaendelea kuchukua hatua kuelekea kuhakikisha kwamba tunashughulikia misingi yote katika masuala ya ulinzi na usalama mtandaoni

Ukweli Kuhusu Uuzaji wa Moja Kwa Moja Na Uchumi
Ripoti ya WFDSA 2019 Inaonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuuza Moja kwa Moja
Kuuza moja kwa moja dhidi ya Kazi za Jadi za Kampuni – Amua Mshindi
Je! Fursa ya QNET ni gani Na ni Nini Kikubwa Kuhusu Fursa Hiyo?
Mabishano, na Swali la “Je! Ni Utapeli?”
TAGGED:CybersecurityMicrosoft SummitQNET-Microsoft Partnershiptech
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Tuzo QNET Yapata Tuzo 33 Mnamo 2021
Next Article HomePure Jinsi ya Kukabiliana na Maji Machafu Nyumbani kwako
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili