QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: Juhudi za QNET RYTHM zashinda katika tuzo za MENA Stevie Awards za 2022
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Habari > Matukio > Juhudi za QNET RYTHM zashinda katika tuzo za MENA Stevie Awards za 2022
Matukio

Juhudi za QNET RYTHM zashinda katika tuzo za MENA Stevie Awards za 2022

Last updated: June 6, 2022 11:08 am
QNET Official
Share
3 Min Read
QNETMENAStevieAwardsBx
QNET 2022 MENA Stevie Awards B 800x400 1
SHARE

QNET imeshinda tena katika Tuzo za MENA Stevie 2022, na kukusanya tuzo ya shaba katika vipengele viwili muhimu. Katika kategoria za Tuzo ya Ubunifu, QNET walikuwa washindi wa tuzo ya shaba ya Stevie katika kitengo cha video cha wajibu wa Biashara kwa Jamii (CSR) pamoja na kitengo cha matumizi ya Mitandao ya kijamii. Haya ni maeneo  mawili tunafanyia kazi kwa bidii sana kwani familia yetu ya QNET na wajibu wetu wa kijamii unabaki kuwa vipaumbele vyetu vya juu sana hapa QNET. Huu unakuwa ushindi wetu wa pili katika Tuzo za MENA Stevie baada ya kushinda dhahabu mwaka jana kwa Tuzo nyingi za QNET Mobile App.

Tuzo za MENA Stevie za 2022 ni nini?

Tuzo za MENA Stevie 2022 – ni marudio ya mwaka huu ya kikanda ya tuzo kuu za biashara duniani- Tuzo za Stevie. Wanatunuku ubora wa biashara katika mataifa 17 ya mashariki ya kati Afika Kaskazini.Mwaka huu, kulikuwa na waamuzi sita na jopo tofauti la wataalamu zaidi ya 110 wa kimataifa. Tuzo za MENA Stevie za 2022 zinafadhiliwa na chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda cha Ras Al Khaimah, na hafla ya utoaji tuzo itafanyika katika Hoteli ya Waldorf Astoria huko Ras Al Khaimah, UAE.

QNET Inatambulika kwa kuwaweka Watu na Sayari juu ya Faida

Ingawa tulishinda tuzo ya shaba ya Stevies katika kategoria mbili tofauti – tulishinda zote mbili kwa kujitolea kwetu kwa maadali ya msingi wa QNET ya RYTHM – Raise Yourself To Mankind (JIINUE KUSAIDIA WANADAMU) Sehemu ya kinachofanya QNET ionekane kama kampuni inayouza moja kwa moja ni shughuli zetu zisizo na kikomo zinazolenga kuboresha jumuiya tunazofanyia kazi na kuiacha dunia kuwa mahali pazuri kuliko tulivyoipata. Utegemezi wetu wa kibinadamu umeng’aa katika kila nyanja ya biashara, ikiwa ni pamoja na mitandao yetu ya kijamii, bidhaa zetu na hata miradi yetu.

Ubunifu Katika Uwajibikaji wa Biashara kwa Jamii (CSR) Video

QNET ilionyesha uwezo wa binadamu kuja pamoja kusaidiana wakati wa mzozo. Hii ilinaswa kikamilifu katika QNET kuja pamoja kwa kesho|katika huduma wakati wa Janga la Covid-19 video. Majaji walio na wataalamu wa kimataifa walipiga kura kuipa QNET Tuzo ya Bronze Stevie kwa kazi yetu ya hisani katika jumuiya chini ya bendera ya RYTHM.

Ubunifu Katika Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii

QNET ilikuwa mshindi wa Bronze Stevie kwa #BottleSelfieChallenge yetu ambapo wasambazaji wa QNET sio tu walipiga picha za selfie na chupa zao za maji zinazoweza kutumika tena, lakini pia waliapa kutonunua au kutumia vinywaji vya chupa za plastiki vinavyotumiaka mara moja kidogo ili kupunguza uchafu wa plastiki.Zaidi ya watu 1000 duniani kote walishiriki na kusema #NoToPlastic. Mafanikio ya mpango huu wa uhamasishaji yatatambuliwa kibinafsi katika tuzo za 2022 za MENA Stevie.

Jiunge nasi katika kusherekea tuzo nyingine tena kwa QNET kwa kushiriki hii na marafiki na familia yako! Hongera kwetu sote.

Ukweli Kuhusu Uuzaji wa Moja Kwa Moja Na Uchumi
Ripoti ya WFDSA 2019 Inaonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuuza Moja kwa Moja
Kuuza moja kwa moja dhidi ya Kazi za Jadi za Kampuni – Amua Mshindi
Je! Fursa ya QNET ni gani Na ni Nini Kikubwa Kuhusu Fursa Hiyo?
Mabishano, na Swali la “Je! Ni Utapeli?”
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article can qnet make you rich Je, QNET Inaweza Kukufanya Tajiri?
Next Article AreYouMeantToBeABusinessLeaderDirectSellerEntrepreneurxx Ishara 10 Unastahili Kuwa Kiongozi wa Biashara
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili