QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: Mwezi wa Ujasiriamali wa Kimataifa: Hadithi za kuhamasisha za Wafanikiwa wa QNET
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Mafanikio > Hadithi za Mafanikio > Mwezi wa Ujasiriamali wa Kimataifa: Hadithi za kuhamasisha za Wafanikiwa wa QNET
Hadithi za Mafanikio

Mwezi wa Ujasiriamali wa Kimataifa: Hadithi za kuhamasisha za Wafanikiwa wa QNET

Last updated: December 6, 2023 12:35 pm
QNET Official
Share
6 Min Read
QNET na Hadithi za Wafanikiwa
SHARE

Hebu tuchukue muda huu kusoma Hadithi zetu pendwa za Wafanikiwa wa QNET zilizochapishwa mwaka  2023 tunapofikia wiki ya tamati ya Mwezi wa Ujasiriamali Duniani. Ingawa ni muhimu kuzingatia biashara yetu, kufanya kazi kwa bidii na kuwa na mtazamo wa kutokukata tamaa, ni muhimu pia kupiga hatua nyuma na kusherehekea ushindi wetu – mfano mzuri, Hadithi za Wafanikiwa wa QNET. Iwapo ulipitwa, hizi hapa ni baadhi ya hadithi zetu tunazozipenda zaidi zilizochapishwa mwaka huu.

Contents
Nyota wa Almasi ya bluu V Partner Sachin GuptaNyota wa Almasi V Partner Sharfun ShaikhNyota wa Almasi mshiriki V Partner Fofana AmaralNyota wa Almasi mshiriki V Partner V Yasir KhamisNyota wa Platini V Partner Ibn AbbasNyota wa Platini Mshirika V Partner Nasib BRMjumbe wa Baraza la Nyota wa Platini Omar MedhatMjumbe wa Baraza la nyota wa Platini Omar AlhallakNyota wa Platini Midhulaj ParambaNyota wa Platini Mustafa Negm

Nyota wa Almasi ya bluu V Partner Sachin Gupta

V partner Sachin Gupta

Sio tu kwamba V Partner Sachin Gupta ni hadithi ya mafanikio ya QNET tunayojivunia, pia amekuza timu iliyojaa waliofaulu wanaopatikana duniani kote. Ana sifa ya kuwa kiongozi mwenye mawazo chanya kila wakati na ndiye nyota wa kwanza kabisa wa Almasi ya bluu QNET. Yeye ni uthibitisho hai wa jinsi kuwa na mtazamo sahihi na nidhamu, na mafanikio ukiwa QNET haya kwepeki.

Nyota wa Almasi V Partner Sharfun Shaikh

image 11

Kuzungumza na Mshirika V Sharfun Shaikh, ni wazi mara moja kwamba mafanikio yake yanatokana na vitendo vyake vya kudumu ili kufikia matokeo mazuri. Yeye ni muumini mkubwa katika kufanya kazi kwa bidii, uthabiti na kujiamini. Pia anaamini kwamba ikiwa unaamini katika bidhaa na biashara unayofanyia kazi, shauku hiyo itatafsiriwa katika kazi yako ya kuuza moja kwa moja.

Nyota wa Almasi mshiriki V Partner Fofana Amaral

image 12

Mshirika wetu wa V ni mojawapo ya Hadithi za Mafanikio za QNET ambazo bila shaka utasikia kwa wingi utakapojiunga na QNET. Hii ni kwa sababu alichukua hatua ya imani akiwa na imani thabiti kwamba siku moja atafanikiwa. Yeye ni thibitisho hai kwamba kujenga na kulea timu dhabiti ya watu wenye nia moja ndiyo njia ya haraka sana ya kufaulu katika kukuza cheo.

Nyota wa Almasi mshiriki V Partner V Yasir Khamis

image 13

Mshirika wa V Yasir Khamis ni mwaminifu na mnyoofu kuhusu kile kinachohitajika ili kuwa mfanisi katika tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja, na haswa katika QNET. Anaamini kuwa QNET imekusudiwa kwaaajili ya watendaji wa hali ya juu ambao hawaoni aibu kuwa na malengo makubwa. Anaamini kwamba kwa kufuata mpango wa Fidia ya QNET, wewe pia unaweza kuwa mmoja wa Hadithi za Mafanikio za QNET ambazo kila mtu anazipenda.

Nyota wa Platini V Partner Ibn Abbas

image 14

Mshirika Ibn Abbas anaonekana kama mfano wa kuigwa miongoni mwa wasambazaji wengi wa QNET duniani kote kwa sababu ya hadithi yake. Japokuwa hakuna kilichokuwa rahisi alipoanza, tofauti na watu wengine waliokata tamaa, alivumilia na hakukata tamaa pale alipokutana na changamoto. Aliendelea na shughuli zake za kila siku akiwa na imani kwamba angefikia malengo yake hata iweje. Kulingana na yeye, ufunguo wa mafanikio ni kujiamini kila wakati.

Nyota wa Platini Mshirika V Partner Nasib BR

image 15

Mafanikio yalikuja kwa V Partner Nasib BR alipoamua kuwa mfuasi. Alifuata katika za njia za Mshirika Padma, akimtumia kama alama ya mafanikio. Alitafuta ushauri wake na kuufuata, akijua kwamba kwa kusikiliza, hakuwa akipoteza muda katika kubadilisha muelekeo. Siri yake ya mafanikio ni kuzingatia maendeleo yako ya walio chini yako.

Mjumbe wa Baraza la Nyota wa Platini Omar Medhat

image 16

Kulingana na Mjumbe wa Baraza Omar Medhat, ufunguo wa kuwa Mfanisi wa QNET ni umakini. Anachofanya ni kuwa na mwelekeo na kuunda mpango. Haitoshi tu kuwa na lengo, unahitaji pia kuunda mpango wa kulifanyia kazi, na kisha kufanya kazi kwa bidii hadi utimize. Sasa kwa kuwa yeye ni Nyota wa Platini, lengo lake la pili ni kuwa Nyota wa Almasi, na kisha baada ya hapo, analenga kuwa Nyota wa almasi ya Bluu.

Mjumbe wa Baraza la nyota wa Platini Omar Alhallak

image 17

Mwanachama dhabiti wa Klabu ya Wafanikiwa wa QNET, Mjumbe wa Baraza la V Omar Alhallak anaamini katika umuhimu wa kuwa na maono wazi ya maisha yako na maisha yako ya baadaye. Anaamini kuwa kua na shauku haitoshi. Unahitaji kuwa na vitendo vya kweli na uthabiti. Mafanikio ya kweli  QNET hayaji tu kutokana na kupata pesa, bali kuhusu kuunda matokeo chanya katika maisha ya wengine.

Nyota wa Platini Midhulaj Paramba

image 18

Midhulaj alijipatia jina kwa kupata hadhi ya Nyoya wa Platini licha ya janga la kimataifa, na mazui yaliyowekwa kijamii. Alitoka kufanya kazi kutoka alipokuwa akiw na umri wa miaka 15 katika tasnia tofauti hadi kuchagua Fursa ya Biashara ya QNET isiyozuia kushuka kwa uchumi. Amethibitisha kwamba yuko tayari kukabiliana na hali ngumu na kupitisha mawazo chanya, na hiyo ndiyo ufunguo wa mafanikio yake.

Nyota wa Platini Mustafa Negm

image 19

Mustafa aliacha kazi kama afisa wa uhandisi wa baharini kutoka chuo kikuu cha majini na kuwa sehemu ya familia ya QNET. Motisha yake ilikuwa kupanda juu ya njia za kitamaduni za kazi ambapo alikuwa na uhakika kwamba angekwama baada ya miongo kadhaa, akijitahidi kukidhi mahitaji yake ya kimsingi. Hamasa yake ya kufanikiwa katika QNET inatokana na nia yake ya kutoa maisha bora ya baadaye kwa mwanawe na familia yake.

Maazimio 5 ya Mwaka Mpya kwa Mafanikio ya Biashara
Kiongozi Nyota wa Sapphire Ouattara Lassina Kuhusu Umuhimu Wa Kutokukata Tamaa
Masomo 25 kutoka kwa Hadithi za Waliofanikiwa wa QNET ili Kukufanikisha
Furaha  ya Kutumia Mapato Yako ya Kwanza ya QNET
Nyota wa Almasi, AVP Fofana Amaral katika Kujiamini
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Amezcua Kuwa Bora Zaidi Amezcua: Kuwa Bora zaidi
Next Article QNET Europe yajiunga na DSA ya Kifahari ya Luxemburg QN Europe Yajiunga na Jumuiya ya Wauzaji wa Moja kwa Moja ya Kifahari ya Luxembourg
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili