SAA NA VITO
CIMIER QNETCITY CONQUER
Saa za michezo zilizo imara kama timu wanayoziwakilisha—mkusanyiko huu wa CIMIER unaadhimisha mafanikio ya kufunga mabao ya klabu mashuhuri ya Ligi Kuu ya England, Manchester City.
Together We Rise.
Ushirikiano Uliojengwa Kwa Ajili ya Ushindi.
Kwa msingi thabiti wa mafanikio yanayoendelea kukua, Manchester City FC na QNET kwa pamoja wameunda ushirikiano uliojengwa kwa ajili ya ushindi.
Kwa zaidi ya muongo mmoja, kutambuliwa kwa QNET kama Mshirika Rasmi wa Uuzaji wa Moja kwa Moja wa Manchester City FC kumekuwa udhamini wenye mafanikio makubwa duniani kote. Mkusanyiko mpya unaonyesha mfululizo wa saa zenye ujasiri na mvuto wa kipekee, zilizobuniwa kurithishwa kizazi hadi kizazi miongoni mwa mashabiki wa soka na wapenda saa.
Saa hii ni mshirika wako mpya wa soka, ikileta mtindo na michezo kwenye uwanja mmoja wa ushindani.
Maelezo ya Kiufundi
| Kasha na Taji: | Chuma cha pua 316L chenye uso wa brashi na uliosuguliwa |
| Sehemu ya Nyuma ya Saa | Chuma cha pua 316L kilichofungwa kwa skrubu na kuchongwa maandishi “Official Licensed Product Manchester City FC” |
| Kioo: | Kioo cha sapphire kisichopasuka chenye rangi ya kuzuia mwangaza |
| Uso wa saa: | Uso wa saa mweusi wenye muundo wa grini ukiwa na nembo |
| Mshipi na Funga | Mshipi wa mpira mweusi wenye funga ya ulimi (tongue buckle) ya chuma cha pua 316L |
| Kazi ya Saa: | Saa, Dakika, Sekunde, Tarehe, Kipimo cha Muda |
| Upana wa Kipenyo: | 42 mm |
| Ustahimilivu wa Maji: | 10 ATM (100 mita/330 futi) |
| Mfumo wa Kuendesha: | Swiss Quartz – RONDA |
| Ukusanyaji: | Umetengenezwa Uswisi |
Saa hii ya rangi nyeusi na dhahabu ya manjano ni matokeo ya mtindo wa kisasa unapopata mguso wa michezo.
Maelezo ya Kiufundi
| Kasha na Taji | Chuma cha pua 316L chenye uso wa brashi na uliosuguliwa (polished) chenye rangi ya dhahabu ya manjano kwa PVD |
| Sehemu ya Nyuma ya Saa | Chuma cha pua 316L kilichofungwa kwa skrubu na kuchongwa maandishi “Official Licensed Product Manchester City FC” |
| Kioo | Kioo cha sapphire kisichopasuka chenye tabaka la kuzuia mwangaza (anti-reflective coating) |
| Uso wa Saa | Uso wa saa mweusi wenye muundo wa grini ukiwa na nembo |
| Mshipi na Funga | Mshipi wa mpira mweusi wenye funga ya ulimi (tongue buckle) ya chuma cha pua 316L yenye PVD ya dhahabu ya manjano |
| Kazi ya Saa | Saa, Dakika, Sekunde, Tarehe, Kipimo cha Muda |
| Upana wa Kipenyo | 42 mm |
| Ustahimilivu wa Maji | 10 ATM (100 mita/330 futi) |
| Mfumo wa Kuendesha | Swiss Quartz – RONDA |
| Ukusanyaji | Imetengenezwa Uswisi |
Saa hii kiotomatiki inachukua mtindo wa kuvutia kwenye kiwango kipya, ikionyesha kasha la mraba lenye nguvu la chuma cha pua lililoambatana na uso wa saa mweusi wa kina.
Maelezo ya Kiufundi
| Kasha na Taji: | Chuma cha pua 316L chenye uso wa brashi na uliosuguliwa |
| Sehemu ya Nyuma ya Kasha: | Chuma cha pua 316L kilichofungwa kwa skrubu, chenye kioo cha sapphire kinachoonekana na maandishi “Official Licensed Product Manchester City FC” |
| Kioo: | Kioo cha sapphire kisichopasuka chenye tabaka la kuzuia mwangaza |
| Uso wa Saa: | Uso wa saa mweusi wenye muundo wa gridi (mesh) ukiwa na nembo, viashiria na mikono ya Super-LumiNova |
| Mshipi na Funga: | Mshipi wa mpira mweusi wenye funga ya ulimi (tongue buckle) ya chuma cha pua 316L |
| Kazi za Saa: | Saa, Dakika, Sekunde, Tarehe |
| Kipenyo: | 40.5 mm |
| Ustahimilivu wa Maji: | 10 ATM (100 mita/330 futi) |
| Mfumo wa Kuendesha: | Swiss Kiotomatiki – SELLITA |
| Ukusanyaji: | Imetengenezwa Uswisi |
| Toleo la Kipekee: | Vipande 1,894 |
Saa ya QNETCity Conquer Automatic Black
Saa hii nyeusi yenye mfumo wa kiotomatiki ni chaguo kwa wale wanaopendelea mtindo jasiri, thabiti, na wa kisasa linapokuja suala la saa za michezo.
Maelezo ya Kiufundi
| Kasha na Taji: | Chuma cha pua 316L chenye uso wa brashi na uliosuguliwa (polished) chenye PVD nyeusi |
| Sehemu ya Nyuma ya Kasha: | Chuma cha pua 316L kilichofungwa kwa skrubu, chenye kioo cha sapphire kinachoonekana na maandishi “Official Licensed Product Manchester City FC” |
| Kioo: | Kioo cha sapphire kisichopasuka chenye tabaka la kuzuia mwangaza |
| Uso wa Saa: | Uso wa saa mweusi wenye muundo wa gridi (mesh) ukiwa na nembo, viashiria na mikono ya Super-LumiNova |
| Mshipi na Funga: | Mshipi wa mpira mweusi wenye funga ya ulimi (tongue buckle) ya chuma cha pua 316L yenye PVD nyeusi |
| Kazi za Saa: | Saa, Dakika, Sekunde, Tarehe |
| Kipenyo: | 40.5 mm |
| Ustahimilivu wa Maji: | 10 ATM (100 mita/330 futi) |
| Mfumo wa Kuendesha: | Swiss Automatic – SELLITA |
| Ukusanyaji: | Imetengeneswa Uswisi |
| Toleo la Kipekee | Vipande 1,894 |
Linda Urithi wa Saa Yako
na QNET Care
Gundua Bidhaa Zetu
Gundua bidhaa zilizotengenezwa kwa mahitaji yako