Maswali yaliyoulizwa mara kwa mara yenye kufafanua vipengele vingi vya LifeQode EDG3 – funguo ya ulinzi wa mwili wako, glutathioni. Tangia uzinduzi wa LifeQode EDG3 katika V-con nchi Malaysia mwezi uliopita, wataalam wetu wamefanya kazi kubwa ya kujibu maswali kuhusu chochote na kila kitu kinachohusiana na EDG3. Haya ndo majibu ya wataalamu wetu , katika njia rahisi ya kueleweka, kwa baadhi ya maswali yameulizwa.
Kama una swali la nyongeza tafadhali ongezea kwenye sehemu ya maoni.
S: Nini maana ya glutathioni?
J: Glutathioni (inayo julikana pia kama GSH ni molekuli kubwa ya protini ambayo imetengenezwa na amino asidi tatu rahisi : cysteine,glycine na glutamine. Inazalishwa katika seli zote za mwili wa binaadamu na viumbe vyote hai. Glutathioni ni muhimu kwa maisha ya seli, inasambaratika au kumomonyoka na kupoteza shughuli zake za kinga. Glutathioni ina kiwango cha mzunguko katika mwili kila badaa ya masaa 36; ikimaanisha kuwa hifadhi za seli mwilini za glutathioni zinatakiwa kujazwa mara kwa mara. Kuwa kila seli inatoa dalili ya umuhimu wa molekuli hii.
S: Ni nini faida za glutathioni?
J: Glutathioni inajukumu kuu katika seli; kuilinda kutokana na bakteria, virusi , wachafuzi , na hata taka za seli yenyewe. Wakati antioxidanti zingine zinafanya kazi tu katika sehemu fulani za mwili wetu au kama kinga ya kwanza, glutathioni inahitajika katika kila seli.
S: Kwanini Glutathioni inajulakina kama antioxidant kuu?
J: Glutathioni inajulikana kama antioxidant kuu kwasababu inafanya kazi ndani ya seli kulinda kila seli na madhara. Pia inauwezo waki pekee ya kuongeza utendaji wa antioxidant zote nyingine tunazo kula katika lishe zetu, ikiwa ni pamoja na vitamini C na E au kutoka kwa virutubisho vingine.
S: Kwanini Glutathioni inaitwa mkuu wa kuchochea kinga kuu?
J: Glutathioni ni muhimu katika kusaidia mfumo wako wa kinga kwa kufanya kazi yake yakupambana na maambukizi. Seli zilizo na glutathoni ya juu zina afya bora na zinaweza kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi kutulinda na bakteria na virusi. Kwa mfano, sehemu muhimu ya kinga ni seli T na kwa seli T uanzishaji na uenezi kutokea, maudhui ya glutathioni inatakiwa kuongezwa katika kiwango chake.
S: Kwa nini glutathioni inaitwa mkuu wa kuondoa sumu mwilini?
J: Glutathioni pia ni sehemu muhimu na ni shemu muhimu kwako ya mfumo wa kutoa sumu mwilini. Sumu za kigeni pamoja na taka za kawaida za seli inashikana na glutathioni na huibeba, kupitia figo, na kutoa nje ya mwili wako.
S: Je, glutathioni inasaidia kuongeza weupe kwenye ngozi?
J: Glutathioni imekuwa kwa muda mrefu kama kuongeza weupe kwenye ngozi na kusaidia kubooresha rangi kwasababu ya kupunguza athari za melanini. Watumiaji wengie wameripoti kuwa na ngozi laini na nyororo kama athari ya kwanza wakishanza kutumia EDG3 kila siku. Athari hii haizingatiwi kama faida kuu ya glutathioni kwenye mwili.
S: Kuna matatizo yoyote yaki afya yanayo husiana na upungufu wa glutathioni?
J: Kwa sasa, kuna hali 98 za matibabu kuhusishwa na upungufu wa glutathioni. Baadhi ya hayo ni ugonjwa wa yabasi, ugonjwa wa Alzheimer , mtoto jicho , ugonjwa wa uchovu sugu , maambukizi ya mara kwa mara , kukosa usingizi , kisukari na saratani.
S: LifeQode EDG3 ni nini?
J: Glutathioni na EDG3 inaenda sambamba – EDG3 imethibitishwa na kliniki kuongeza na kudumisha kiasi cha glutathioni katika mwili wako kwa usalama na uhalisia. Inafanya hivyo kwa kutumia mfumo uliondaliwa wa utoaji ili kuhakikisha kila seli katika mwili wako inapokea amino asidi na zinazohitajika kusambaza glutathioni, kitu ambacho hakuna glutathioni nyingine hufanya kwa uimara kama EDG3!
S: Je, EDG3 inatofautianaje na bidhaa zingine za glutathioni?
J: Bidhaa Nyingine nyingi za glutathioni aidha huwa na glutathioni yenyewe au amoni asidi cysteine. Tatizo la mbinu hizi ni kwamba haina ufanisi kama EDG3 katika kuongeza viwango vya glutathioni katika seli.
S: Je, EDG3 ina glutathioni?
J: Hapana, glutathioni molekuli ni kubwa sana kupita vizuri kwenye kuta za tumbo kwa hivyo EDG3 ina mbinu ya kuongeza uzalishaji wa glutathioni ndani ya seli.
S: Je, naweza kuchukua glutathioni za kumeza mbadala ya EDG3?
J: Glutathioni za kumeza hazina ufanisi kama EDG3 katika kuongeza kiasi cha glutathioni ndani ya seli za mwili kwasababu wingi wa pacenti 85% yake imevunjwa ndani ya tumbo wakatia wa imemenyeko wa chakula. Zaidi unyonyaji wa glutathioni katika mwili wa wazee au wenye umri mkubwa unaweza kuwa na ufanisi mdogo.
S: Ni nini viungo vya LifeQode EDG3?
J: LifeQode EDG3 ina mchanganyiko wa kipekee waneye hati miliki kutoka bara la Marekani inayojumuisha I-glutamina, l-cystine(sio sawa na cysteine) na glycine. Kwa kuongezea, fomula inahusisha Selenium na methionine,madini muhimu yanayohusika katika mchakato wa uzalishaji wa glutathioni. EDG3 pia ina ascorbic asidi (vitamini c) ,dondoo ya asili ya berry iliochanganywa na fiber asilia yenye afya kusaidia afya ya mmeng’enyo wa chakula.
S: Nini tofauti kati ya Cystine na Cysteine?
J: Cysteine ni kuta ya kujenga glutathioni kwenye kila seli inayohitaji kuendelea kuzalisha glutathioni. Tatizo ni Cysteine haina msimamo na, ukinywa moja kwa moja, inavunjwa ndani ya tumbo kabla ya kufika kwenye seli za mwilini ambapo zinahitajika. Cystine, ambayao ipo ndani ya EDG3, inasuluhisha tatizo hili kubwa kwasababu huishi mwilini hadi njia zote za kuta za seli ambapo huingia kwenye seli kabla ya kugawanyika katika molekuli mbili za cysteine.
S: Itachukua muda gani mpaka nione matokeo?
J: Athari zinachukua mda wa wiki 4 za kutumia mara kwa mara.
S: Je, kuna tafita za kimatibabu za kuunga mkono madai haya ya EDG3?
J: Kuna tafiti 120,000 elfu zilizochapishwa kuonesha manufaa ya kuongeza kiwango cha glutathioni.EDG3 imeonyesha uthibitisho huo na wenye hatimiliki ya kuongeza kiwango cha glutathioni kwenye mwili.
S: Je, ni salama kwa watoto kuchukua EDG3?
J: Kwa ujumla, ndio, watoto wenye umri wa miaka 6-12 wanaweza kuchukua nusu ya paketi kwa siku. Hata hivyo kwa watoto wenye umri wa miaka chini ya 6 sita, tunapendekeza kupata ushauri wa daktari kwanza.
S: Je, naweza kuchukua EDG3 kama natumia dawa nyingine?
J: Ndiyo, EDG3 haiingiliani na dawa yoyote nyingine.
S: Je, EDG3 ni tiba mbadala ya dalili maalumu au magonjwa?
J: Hapana, EDG3 haijakusudiwa kutibu au kuponya dalili maalumu au ugonjwa.
S: Je, kuna hasi yoyote inayojulikana kufanya madhara kutoka kwa kuchukua EDG3?
J: EDG3 ni ya asili na isiyo na sumu bila kuongeza rangi zozote, ladha bandia au vihifadhio. Ni salama kunywa hata zaidi ya dozi zilizopendekezwa. Watu wachache wanaweza kupitia kitu kinacho itwa “ mgogoro wa uponyaji” mda mfupi baada ya kuchukua EDG3, angalia chini.
S: Nini maana ya mgogoro wa uponyaji?
J: Mgogoro wa Uponyaji, au athar za Herxheimer kwa majini mengine, ni muda mfupi wa kuishi ambapo mtu anapatwa na dalili za mafua baada ya kuchukua suplimenti zenye nguvu za kusafisha na zenye lishe.
S: Je, pia nyongeza za antioxidant na lishe nyingine hufanya kazi na EDG3?
J: Jenetiki za EDG3 haziwezi kubadilishwa. Hata hivyo, antioxidant nyingine kama vitamini C na E kama inavyopatikana kwenye BERRY XTREME, Ole Olive Leaf Extract na zinginezo huimarishwa zaidi na EDG3.Hii ni kwasababu glutathioni inacheza nafasi ya kubooresha na kuchakata tena antioxidanta zingine ambayo hutumia katika lishe yako au katika virutubisho vingine.
S: Kwanini EDG3 haishi moja kwa moja katika maji?
J: EDG3 sio asilimia 100% kumumunyika kwenye maji kutokana na mfumo wake. Kama kuna mabaki ya EDG3 kwenye glasi ongeza maji, koroga na kunywa ilikuhakikisha hakuna EDG3 inayobaki nyuma.
S: Je, naweza kuchukua EDG3 na maziwa badala ya maji?
J: EDG3 haina ladha baada ya kunywa na unaweza nyunyuzia kwenye chakula au kuongeza kunywe kinywaji. EDG3 pia inabebwa kwenye colloidal kama maziwa. Hivyo, ongezea EDG3 kwenye kinywaji chochote cha maziwa kuepusha punjepunje baadahi ya watu wanaona wakati wakinywa EDG3 na maji.
Q: Ni jinsi gani naweza hifadhi EDG3?
J: Tunapendekeza kuhifadhi EDG3 kwenye sehemu kavu na baridi. Walakini, vitalu vya ujenzi wa EDG3 ni imara sana na inaweza kustahimili joto kali na tofauti za pH.
Je una swali kwa wataalamu wetu wa LifeQode? Tafadhali tujulize hapo chini kwenye maoni.