Jiandae kwa sababu tunakaribia kuianza safari ya kufurahisha ya miaka 25 ya QNET, na itakuwa ya kusisimua! Katika kipindi hiki maalum cha Real Talk katika podcast ya QNET, sote tunafuraha kumbukumbu nzuri na tunasherehekea miaka 25 kwa upekee!
Kwa Nini Tuko Hapa
Mwenyeji wetu, Trevor Kuna, yuko hapa ili kuanzisha sherehe, na ni njia gani bora zaidi ya mahojiano ya moja kwa moja na Mkurugenzi Mkuu wa QI Group na V Partner Kuna Senathirajah! Kwa pamoja, wanazungumza kuhusu umuhimu wa kusherehekea hatua muhimu, haswa ukiwa kama QNET.
Kumbukumbu za QNET zisizosahaulika
Wafwatao, Wakurugenzi wetu wa QI na Mabalozi wa V kuchukua kipaza sauti ili kushiriki kumbukumbu zao za QNET, hakika hadithi hizi ni za kusisimua! Kuanzia hadithi za kutia moyo hadi za kuchekesha sana, jitayarishe kurejea matukio fulani yasiyoweza kusahaulika katika historia ya QNET. Tunakuibia siri: kuna vicheko, machozi, na hadithi zenye msukumo mwingi.
Urithi, Athari, na mengine yote
Sasa, wacha tuingie kwenye mambo muhimu zaidi! Tunaketi pamoja na washirika wa V, David Sharma, Sathi Senathirajah, Arun George, na Adly Hassan ili kuongelea zaidi nini maanake kuwa sehemu ya familia ya QNET. Wanaongelea urithi na athari za QNET na tuamine tukisema, sio maongezi ya kawaida. Jitayarishe kwa mambo mengi Zaidi.
Tutarajie nini wakati ujao
Kaa vizuri kwa sababu Bi Malou Caluza, Afisa Mkuu wa Athari wa QNET na gwiji wa hadithi ambaye amekuwa hapo tangu siku za awali, anatupa habari za ndani kuhusu nini cha kutarajia katika safari ya kusisimua ya QNET. Hakuna mazingaumbwe, ni maarifa ya kupendeza ya moja kwa moja tu!
Fainali Kuu: Waanzilishi wa QNET
Na kuhitimisha yote, Chief Pathman Senathirajah anachukua nafasi,Hakika ilikua bonge la pati. Aketi chini kwa mazungumzo na Waanzilishi wa QNET Dato Sri Vijay Eswaran na Joseph Bismark. Tunazungumza mambo ya kufurahisha ya kustaajabisha, burudani pekee, na mambo yote mazuri ambayo wanaweza kushiriki kuhusu kila mmoja wao. Zaidi ya hayo, waongelea matumaini yao kwa QNET na kizazi kijacho cha wajasiriamali!
Hongera kwa Miaka 25!
Kwa maongezi haya ya ziada ya kusisimua ya Maongezi ya Wazi kupitia podikasti maalum ya QNET, tuchangamkie maadhimisho ya miaka 25 ya QNET. Imekuwa safari iliyojaa kumbukumbu, watu wa ajabu na furaha tele. Kifutacho Miaka 25 ijayo ya matukio yaliyojazwa na QNET, ubunifu, na msisimko usio na kikomo! Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii ya ajabu.