QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: QNET – Miaka 25 ya Kuwawezesha Wajasiriamali
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > Mafanikio > Hadithi za Mafanikio > QNET – Miaka 25 ya Kuwawezesha Wajasiriamali
Hadithi za Mafanikio

QNET – Miaka 25 ya Kuwawezesha Wajasiriamali

Last updated: November 28, 2023 10:26 am
QNET Official
Share
6 Min Read
QNET 25- Waanzilishi Dato Sri Vijay Eswaran na Joseph Bismark.
SHARE

Kusherehekea miaka 25 ya QNET ya kuwawezesha wajasiriamali – katika mazungumzo na Waanzilishi wa QNET Dato Sri Vijay Eswaran na Joseph Bismark.

Contents
Ulipoanza safari hii iliyozaa QNET, ni nini kilikuwa cha kwanza akilini mwako? Na uliwahi kufikiria ungefika hadi hivi?Uuzaji wa mtandaoni ulikuwa tofauti kiasi gani mwaka wa 1998 na umeibuka vipi katika miaka 25 iliyopita?Je, unaonaje miaka 20 ijayo itakavyokuwa?

Ulipoanza safari hii iliyozaa QNET, ni nini kilikuwa cha kwanza akilini mwako? Na uliwahi kufikiria ungefika hadi hivi?

DSVE: Hatukuanza kwa kuwaza kuanzisha kampuni kabisa. Wakati huo, hali zilikuwa kana kwamba tulikuwa na watu wapatao 1,500 katika timu yetu ambao walituheshimu, walikuwa wameweka imani yao kwetu na tulihitaji kufanya uamuzi kuhusu maisha yao ya baadaye. Kampuni tuliyoshirikiana nayo ilikuwa imefunga kazi usiku kucha na kutuacha tukiwa tumekauka. Kama viongozi, tulikuwa na jukumu kwa timu yetu. Hawa walikuwa watu wetu na walikuwa wametuamini kuwasaidia kubadilisha maisha yao. Tulijua hatungeweza kuwaangusha.

Jambo kuu akilini mwetu lilikuwa ni kuwajali watu wetu na kuwapa fursa ya kujenga maisha yajayo tuliyowaahidi. Tulikuwa kundi la watu wa asili tofauti tofauti. Nilikuwa peke yangu mwenye uzoefu wa usimamizi. Sidhani kama kuna hata mmoja wetu aliyeelewa kikamilifu kile ambacho kinahitajika ili kuanzisha kampuni lakini sote tulishiriki maadili sawa, na maono sawa, na hilo ni jambo la nguvu.

JTB: Tulipogundua kwamba kampuni tuliyoshirikiana nayo hayakua waminifu kwetu na imetuacha, mwanzoni nilikatishwa tamaa moyo sana. Sikujua tungefanya nini, lakini Vijay aliniambia niangalie hii kama fursa. Hatimaye, tulikuwa tumeanza safari hii ya mtandao wa masoko kwa sababu tulitaka kuwa huru kifedha na kuwa na udhibiti wa maisha yetu. Alidokeza kuwa bado tunaweza kuwa kwenye njia hii ya ujasiriamali, kwa mabadiliko machache tu. Tulipata fursa ya kuunda kitu kipya ambacho kingeshughulikia mapungufu ya kampuni zingine zote za uuzaji wa mtandaoni ambazo tulikuwa na uzoefu nazo hapo awali.

Hapo awali, niliogopa sana wazo la kuanzisha kampuni. Sikuwa na elimu rasmi, na sikuwa na uzoefu wa ushirika. Lakini, niliamuamini Vijay, na uwezo wetu pamoja wa kukabiliana na changamoto na kuzishinda. Kadiri nilivyofikiria juu yake, ndivyo nilivyopata shauku zaidi. Tulipata fursa ya kuanza upya na kwa masharti yetu wenyewe. Hiyo ilikuwa ni motisha kubwa. Bila shaka, nikitazama nyuma sasa, ninashangazwa na jinsi tulivyofika hapa.

Uuzaji wa mtandaoni ulikuwa tofauti kiasi gani mwaka wa 1998 na umeibuka vipi katika miaka 25 iliyopita?

JTB: Kanuni za kimsingi za uuzaji wa mtandaoni zimekuwa sawa kila wakati. Hii ni tasnia inayotegemea uhusiano na watu daima watakuwa rasilimali kuu ya biashara yoyote ya mtandao wa masoko. Kilichobadilika ni mbinu. Tangu siku za mwanzo wakati watu walibeba bidhaa kwenye gari zao na kutoka mkutano mmoja hadi mwingine, teknolojia ya leo imewawezesha watu kufanya biashara hii wakiwa majumbani kwao. Biashara ya mtandaoni, mCommerce, na mitandao ya kijamii imebadilisha kabisa jinsi unavyokutana na watu wapya na kuwasilisha bidhaa na biashara kwao. Biashara pia imekuwa isiyo na mipaka leo. Unaweza kukaa Cairo na kueleza manufaa ya bidhaa kwa mtu aliye Kolkata. Unaweza kuendesha mafunzo ya mtandaoni kupitia Skype na majukwaa mengine ya video bila kulazimika kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine.

DSVE: Ulimwengu unagundua tena uuzaji wa mtandao kama aina ya ujasiriamali. Ingawa tasnia hii imekuwepo kwa zaidi ya karne, imekuwa ikipambana na mashaka. Tunaelekea wakati ujao ambapo teknolojia inafanya kazi nyingi za kitamaduni kuwa za kizamani. Tuna tatizo linaloongezeka la ukosefu wa ajira katika nchi nyingi, bila suluhu ya wazi kutoka kwa serikali yoyote. Zaidi ya vijana milioni 700 watahitimu kutoka vyuo vikuu na kujiunga na nguvu kazi ifikapo 2025 na hakutakuwa na ajira za kutosha kwao. Ujasiriamali ndio suluhisho pekee la kimantiki la kujaza pengo kati ya ongezeko la watu na kuongezeka kwa ukosefu wa ajira. Uuzaji wa mtandao ni moja wapo ya tasnia inayokua kwa kasi leo ambayo imeunda mamilioni ya wajasiriamali wadogo, na imenusurika majaribio ya wakati. Kilicho kizuri sana kuhusu tasnia hii ni kwamba licha ya mageuzi yake, jambo moja ambalo halitabadilika ni kwamba watu daima watabaki katika biashara hii. Nimefurahishwa na jinsi itakavyokua katika miaka 20 ijayo kwa teknolojia mpya na njia mpya za mawasiliano.

Je, unaonaje miaka 20 ijayo itakavyokuwa?

JTB: Nadhani ningesema bado tunaichukua hatua moja baada ya nyingine, ingawa, hatua zinaweza kuwa kubwa sasa kuliko ilivyokuwa tulipoanza. Pia nadhani tumejipanga zaidi kukabiliana na miaka 20 ijayo.

Lengo letu kuu litakuwa kujenga, kukuza, na kuimarisha safu ya pili – wanamtandao na wafanyakazi wenye shauku ambao wanaweza kuchukua nafasi kutoka kwetu. Hatuwezi kuwa hapa milele, kwa hivyo tunataka kutoa mafunzo na kujenga kizazi cha pili cha viongozi wenye shauku ambao watabeba urithi wetu mbele.

DSVE: Miaka 20 ijayo itahusiana zaidi na viongozi 20 wa kizazi kijacho kuliko sisi wawili. Ni matumaini yangu makubwa kwamba kadiri majukumu yetu yanavyopungua katika kampuni na kadri uwepo wetu unavyopungua jukwaani, ujumbe wetu utakua katika nguvu na shauku. Acha iendelee kuwaka angani bila kukoma; Jiinueni. Wanadamu wanawangoja.

Maazimio 5 ya Mwaka Mpya kwa Mafanikio ya Biashara
Kiongozi Nyota wa Sapphire Ouattara Lassina Kuhusu Umuhimu Wa Kutokukata Tamaa
Masomo 25 kutoka kwa Hadithi za Waliofanikiwa wa QNET ili Kukufanikisha
Furaha  ya Kutumia Mapato Yako ya Kwanza ya QNET
Nyota wa Almasi, AVP Fofana Amaral katika Kujiamini
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article AVP Fofana katika Kujiamini Nyota wa Almasi, AVP Fofana Amaral katika Kujiamini
Next Article Fingreen ya QNET yatoa mafunzo kwa Vijana na wanawake 700 Mpango wa Elimu ya kifedha unaotolewa Bure wa QNET Unawafikia Zaidi ya Wanawake na Vijana 700 huko Accra na Ho
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili