Pongezi za dhati kwa Mabingwa mara tano wa Ligi Kuu ya Uingereza na washirika wetu Manchester City! Hivi sasa wako alama 12 mbele ya wapinzani wao wa karibu, ikimaanisha kuwa hakuna timu nyingine ya mpira wa miguu iliyokaribia kuwachapa kwa ubingwa huu wa EPL 2020-21.