QNET imeshinda kwa kishindo kikubwa katika 2022 AVA Digital Awards, inayoleta mwaka mpya wa Lunar kwa mtindo,ukiongeza katika kombe za ushindi tulizo shinda mwaka jana. Mwaka huu QNET meshinda tuzo na imepanda jukwaa moja na wakampuni ya kitaifa tofauti kama AT&T,GE Healthcare, Microsoft, Al Jazeera na Manulife.
Tuzo za AVA Digital awards ni nini?
Iliodhaminiwa na kujajiwa na Association na communication Proffesionals (AMCP), AVA Digital awards inatambua na kuheshimu bora ya bora zaidi katika ulimwengu wa dijitali. Meza ya majaji inakuwa na wataalamu wa mawasiliano,matangazo,uzalishaji na nyaja za masoko.QNET ilichaguliwa kwa tuzo 5 kutoka maelfu ya waliosajisajili mwaka huu.
QNET ni washindi wa platinamu kwenye tuzo za AVA Digital awards
QNET imepokea maoni bora katika mbili za miradi yetu ya kidijitali ambayo tuna fahari nazo. Tumepokea tuzo ya platinamu kwa ajili ya QNET and Sports: a history building of champions (historia inayojengwa kwa mabingwa) ya Youtube ambayo inaonyesha kina chetu cha kujitolea na uhusiano kama kampuni ya uuzaji wa moja kwa moja katika michezo. Tumepokea pia tuzo kwa nakala letu lipendwalo na wawakilishi huru Aspire 30 , QNET na gazeti la mtandaoni lenye habari za kutosha kutoka katika shambani, maonyesho ya bidhaa, na ushauri muhimu na mafunzo ya maisha kutoka kwa wataalamu.
Hawa ndio washindi wetu wa platinamu, kama ulikosa.