MAJIBU YA QNET

Kwa nini sijajua kuhusu bidhaa za QNET hapo awali, ikiwa ni bora na za ubunifu?

Bidhaa za QNET zinauzwa kupitia mtandao pekee, hazipatikani katika madukani. Bidhaa na huduma za kampuni zinasambazwa hasa na Wawakilishi wa Kujitegemea. Ndiyo maana pengine umesikia kuhusu bidhaa za QNET kupitia marafiki zako ambao ni Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET na wamejaribu bidhaa hiyo na kuipenda.

Share This Article
Shule ya QNET inaitwaje

Tunashirikiana na taasisi nyingi duniani kote kuanzia Marekani, U.K, na Ulaya.

App au Programu ya qlearn ni ipi?

Kuishi katika ulimwengu ambao tuko safarini kila wakati programu ya qLearn inakupa urahisi wa kusoma mahali popote/wakati wowote kwenye kifaa…

Kozi zipi za qlearn ni bora zaidi?

qLearn inajitahidi kukuletea elimu bora zaidi kutoka duniani kote kuanzia Elimu ya Watoto, Ujuzi-wepesi, Kujifunza Lugha, na Elimu ya Masomo.…

Nawezaje kuingia kwenye tovuti ya elimu ya mtandao?

Nenda kwa www.myqlearn.net na uweke maelezo yako kutoka kwa barua yako ya kualikwa.

/** Don't load directly */ defined( 'ABSPATH' ) || exit; ?>