QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: QNET Inaonyesha Mshikamano Kwenye Ubora Wa Maji, Muendelezo Wa Maji Na Maji Masafi Kwa Wote
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > RYTHM > QNET Inaonyesha Mshikamano Kwenye Ubora Wa Maji, Muendelezo Wa Maji Na Maji Masafi Kwa Wote
RYTHM

QNET Inaonyesha Mshikamano Kwenye Ubora Wa Maji, Muendelezo Wa Maji Na Maji Masafi Kwa Wote

Last updated: February 5, 2025 9:44 am
QNET Official
Share
5 Min Read
world water forum 2022 senegal
SHARE

QNET na Homepure imeweka alama kwenye siku ya maji duniani kwa kufanya maonyesho tofauti ya maji duniani kote. QNET mipango endelevu ya maji imehusiana kueneza ufahamu kwenye changamoto za maji na kutetea afya na jumuiya za maji zinazostawi duniani kote. Hivi ndivyo mipango endelevu yetu ilivyo mwaka huu.

Maji katika nchi za Africa kusini mwa janga la sahara

Muendelezo wa kazi yetu Tanzania ambapo tulishirikiana na Water for Africa kusambaza maji safi vijijini Tanzania, tulishiriki kwenye jukwaa la World Water Forum ya 9 ,senegal mwaka huu. Mwenyeji akiwa World Water Council, jukwaa iliinua wasifu juu ya usalama wa maji na umuhimu wake kwenye kiuchumi , kijamii na kisiasa maendeleo ya nchi za Sub-SaharaN Africa. Qnet ilitambulisha HOMEPURE Nova kama suluhisho la maji ya kunywa safi iliotengenezwa na miaka 10 ya utafiti juu ya ubora wa maji.

Monyesho endelevu ya maji katika nchi za Africa Kaskazini

Nchini Morocco, QNET mipango endelevu ya maji ilichukua umbo la warsha (karakana) ambalo ilihusisha kupanda zoezi la kupanda miti. Na kwa msaada wa shirika lisilo la Kiserikali ya watoto Bab Rayan, tulielimisha kundi la watoto 70 kwenye umuhimu wa maji endelevu katika wakati wa mabadiliko ya hali ya hewa. QNET pia ilitoa mchango wa Home Pure Nova 2 za chujio za maji kwenye shule ili usalama na afya bora ya maji ni yao kwa muda mrefu.

Nchini Algeria, tumeshirikiana na kundi za kibinaadamu kama Ness El Khir na kundi la mazingira la La Voix De La Nature ( the voice of nature) kwenye mradi wa kupanda miti kwenye nchi. Kama misitu iliokuwa na afya muhimu katika kudumisha vifaa vya kunywa duniani kote, huu mradi ni muhimu sana kwetu Qnet maji mipango endelevu. Mpango ni kupanda miti mia tano (500) ya mzietuni, komamanga na mtini kwa ajili ya kuamsha misitu nchini Algeria ambayo iliteketea na moto katika majira ya joto iliopita.

Athari za ulimwengu usio na mipaka katika mitandao ya kijamii

Kufanya utofauti duniani kote bila mipaka kuingilia kati, QNET imekuwa mwenyeji wa #watersourcechallenge kwenye mitandao yaki jamii na wasambazaji kadhaa wakifanya kuendeleza ufahamu. Hashtag hiyo imesaidia kutetea umuhimu wa maji safi na salama kwa ajili ya vizazi vijavyo. Wewe pia unaweza ingia kwenye kampeni yetu kwa kutumia hashtag na pia kupata nafasi ya kushinda chujio la HomePure water kwa ajili yako.

Kujitoa Kuwa na Uendelevu wa Maji na QNET

Miaka miwili iliopita imekuwa hasa yenye changamoto kama UVIKO-19 ikiendelea kutoa mkazo mzito kwenye swala la maji na usafi wa mazingira katika dunia – haswa kwenye jumuiya zinazoendelea na upatikano mdogo wa maji salama. Kama kampuni ya shughuli na wateja katika jumiya za uchumi zinazo endelea, tuna wajibu kutetea na kuchukua juhudi kutekelezamabadiliko  endelevu katika ugavi wetu na operesheni za kuendeleza huduma ya majikwa ajili ya kila mtu. Hii wiki ya maji duniani , tunajivunia kutetea kwa ajili maji endelevu na msaada wa kubuoresha miundombinu ya maji haswa katika sehemu guswa na uhaba wa maji kama Africa , Mahariki ya kati na zaidi. Qnet imekuwa ikitoa ushirikiano kikamilifu katika world water forum na mashirika mengine ya uboreshaji wa maji na mipango endelevu kwa miaka mingi’ amesema QNET CEO Malou Caluza.

“Udhaifu wa maji na usafi wa mazingira kwanza ilikuja kwetu wakati tunatafuta kuongeza bidhaa zetu zaidi ya muongo uliopita na tukazindua mfumo wa chujio la maji la kwanza chini ya chapa ya HomePure” Caluza akiendelea kuelezea. Tuligundua kuwa kugeuza maji kuwa masafi usambazaji wake ni gharama kubwa kwenye jamii nyingi na maji ya chupa ni ghali sana.

Ndio maana mfumo wa kuchuja maji wa QNET, HomePure Nova, unafanyakazi bila chanzo cha nguvu za umeme, kuwezesha watumiaji kupata faida ya kiwango cha dunia, NSF-Certified mfumo wa kuchuja ikibaki kuwa gharama nafuu na rafiki kwenye mazingira,” Caluza alisema. “Tumetoa vitengo vingi vya HomePure Nova kwenye jamii ambazo zinakosa upatikanji wa maji salama na chanzo endelevu za maji.  Kwa mfano  kwenye kilele cha uviko-19, Qnet ilitoa HomePure Nova chujio za maji katika vyuo vikuu na hospitali nchini Casablanca , Morocco , na hospitali nchini Kazakhstan, kama sehemu ya miradi nafuu wakati wa uviko-19 ambayo ilisambaa zaidi ya nchi 30.”

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article businesslessonsfrommancitywomenvictoryshotx Mabingwa! Mafunzo kutokana na ushindi wa Kombe la Conti la Wanawake wa Man City
Next Article QNET wins 2021 Titan business awards QNET Yashinda Tena katika Tuzo za Biashara za Titan

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025
QNET Remember Your Why
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Hadithi za Mafanikio
March 12, 2025
V Business Presentation
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Matukio
March 4, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili