QNET
  • BIDHAA
    • kwa Mtindo wa Maisha
      • Nyumbani
      • Kazini
      • QNET katika Mwendo
      • Mazoezi
    • kwa Kategoria
      • Saa na Vito
      • Afya
      • Elimu
      • Nyumbani na Kuishi
      • Huduma Binafsi
      • Likizo
      • Ustawi
      • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • Kamusi ya QNET
  • Ilani ya Kashfa ya QNET
  • SETI YA ZANA
  • Chapisho la sauti
  • QNET Sales Calendar
Reading: Je, unajifunzaje ikiwa ulimwengu wako umejaa giza na ukimya?
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • CIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
      • South America (ES)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET
  • BIDHAA
  • KUHUSU QNET
  • FURSA
  • RYTHM
  • MICHEZO
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
Search
  • PORTAL ACCESS
    • Register
    • Login
    • Shop
  • BIDHAA
  • kwa Mtindo wa Maisha
    • Kazini
    • Nyumbani
    • QNET katika Mwendo
    • Mazoezi
  • kwa Kategoria
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • Nyumbani na Kuishi
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
    • Teknolojia
  • KUHUSU QNET
    • Kuhusu QNET
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • FURSA
    • Biashara ya QNET
    • Mafanikio
    • Kufuata Kanuni
  • RYTHM
    • Urithi wa kijani
    • Jumuiya
  • MICHEZO
    • QNET City
    • Ushirikiano
  • QBUZZ
  • WASILIANA NASI
    • Majibu ya QNET
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Chapisho la sauti
    • Kamusi ya QNET
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Kamusi ya QNET
    • SETI YA ZANA
    • Sijawahi Kusikia Kuhusu QNET
    • Nimejiandikisha Hivi Punde
    • Mauzo yangu ya kwanza
    • Kujenga Timu Yangu ya Mauzo
    • Hifadhi
    • Bidhaa za QNET Zilizositishwa
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • South America (ES)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QNET > RYTHM > Maendeleo > Je, unajifunzaje ikiwa ulimwengu wako umejaa giza na ukimya?
MaendeleoRYTHM

Je, unajifunzaje ikiwa ulimwengu wako umejaa giza na ukimya?

Last updated: August 25, 2022 11:13 am
QNET Official
Share
3 Min Read
rythmconnectanopaprojectghanax
rythm connect anopa project ghana 1068x470 1
SHARE

Jiunge nasi kwa kipindi muhimu sana cha RYTHM Connect kinachoandaliwa LIVE kupitia Facebook na Datin Sri Umayal Eswaran Septemba hii. Tuna mazungumzo ya kuelimisha Pamoja na ANOPA Project, mshirika wetu wa NGO kutoka nchini Ghana kuhusu kuwawezesha watoto wenye ulemavu tofauti na elimu kupitia michezo.

Contents
RYTHM Connect ni nini?RYTHM Yaungana na Mradi wa ANOPA, Ghana

RYTHM Connect ni nini?

RYTHM Connect ni mfululizo wa mazungumzo ya kuarifu yaliyoandaliwa na Mwenyekiti wa RYTHM Foundation Datin Sri Umayal Eswaran pamoja na wataalamu wa sekta hiyo, washirika na wanaharakati wa kijamii. Mara nyingi mada wanazoshughulikia ni mazungumzo magumu lakini muhimu. kuhusu jinsi ya kujenga ulimwengu bora na kuleta mabadiliko katika mambo madogo tunayofanya. Unaweza kupata video za mazungumzo yenye kuchochea fikira kupitia chaneli yetu ya YouTube ya RYTHM Foundation na ugundue maarifa yanayofumbua macho katika kila kitu kuanzia elimu na kujenga ulimwengu mjumuisho, hadi jukumu la wanawake katika kuunda jamii, kufikia usawa wa kijinsia na mengine mengi.

RYTHM Yaungana na Mradi wa ANOPA, Ghana

Watoto wenye ulemavu wa kuona na kusikia duniani kote wanateseka sana katika mfumo wa elimu ambapo, kulingana na UNICEF, karibu nusu ya watoto milioni 240 wana ulemavu na hawajawahi kuhudhuria shule. Kujifunza ni mchakato wa hisia ambapo kuona na kusikia humruhusu mtu kupata maarifa kwa urahisi zaidi.

Kwa watoto wenye ulemavu, hii mara nyingi ni changamoto katika mazingira ya shule ya kitamaduni, kwani kuna uwezekano mdogo wa 42% kuwa na ujuzi wa kimsingi wa kusoma na kuhesabu ili kuwasaidia kuelewa masomo ya juu zaidi. Hapo ndipo Mradi wa ANOPA unapoingia.

ANOPA yenye makao yake nchini Ghana, ni shirika lisilo la kiserikali ambalo linazidi kuongeza viwango vya Watoto walemavu kubaki shuleni miongoni kwa kutumia michezo kama zana ya kujifunzia na kujiendeleza. Mbali na kuwasaidia watoto wenye ulemavu kujifunza stadi muhimu za kijamii, ANOPA pia hufanya warsha za uhamasishaji wa ulemavu na ujumuisho ili kubadilisha mitazamo ya kijamii ya watu wenye ulemavu.

Septemba hii, jiunge na mtangazaji, Datin Sri Umayal Eswaran anaposhughulikia mada muhimu sana ya “Kuwezesha Watoto Wenye Uwezo Tofauti Kupitia Michezo”.

Tarehe: 1 Septemba, 2022

Saa: 6pm, HKST

Mahali: https://fb.me/e/2KpIb27yX

Hifadhi tarehe katika kalenda yako au ubonyeze kitufe cha “ukumbusho” ili kupata ukumbusho wako wa kusikiliza kipindi hiki cha Facebook LIVE cha RYTHM Connect.

Kumbuka kusambaza makala hii na marafiki na familia yako. Hebu tufanye mazoezi ya RYTHM pamoja kwa kujifunza zaidi kuhusu masuala ya haki ya kijamii na kuongeza ufahamu miongoni mwa miduara yetu ya ndani.

Tukutane baadae!

QNET Ghana: Mambo 5 unatakiwa kufahamu
Tunakuletea QNET FinGreen – Programu ya Kuwezesha Wanawake na Vijana kupitia elimu ya kifedha
QNET yahamasisha ushirikishwaji wa walemavu kupitia tuzo iliyoshindwa na mradi wa ANOPA unaodhaminiwa na RYTHM
Sisi ni Ulimwengu: Jinsi QNET Inavyowezesha Jamii
Tekeleza na RHYTHM Siku hii ya Watoto Duniani
Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article introducingqnetfingreenfinancialliteracyprogrammex Tunakuletea QNET FinGreen – Programu ya Kuwezesha Wanawake na Vijana kupitia elimu ya kifedha
Next Article onlinesecuritytipsqnetx Pambana Dhidi ya Ulaghai kwa Kutumia Njia Hizi Muhimu na Salama za Mtandaoni
Leave a Comment Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

Chembechembe za Plastiki
Je, Umekuwa Ukinywa Chembechembe za Plastiki?
HomePure
June 5, 2025
Prof Abiodun Induction NAS
QNET Inampongeza Profesa Adebayo kwa Kuteuliwa Katika Taasisi ya Sayansi ya Nigeria
Uncategorized @sw
May 26, 2025
Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Matukio
March 25, 2025
Stevie Awards - QNET wins
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
Tuzo
March 17, 2025

Stay Connected

1.60MFollowersLike
2.7kFollowersFollow
8.1kFollowersFollow
14.9kSubscribersSubscribe
TiktokFollow
WhatsAppFollow

Endelea kushikamana

17kFollowersLike
3.5kFollowersFollow

Hapa kuna mada zaidi unazoweza kufurahia.

Fursa
QBuzz
Majibu ya QNET
Seti ya Zana
Elimu
Kamusi ya QNET

Tufuate

Facebook Youtube X-twitter Instagram Telegram Tiktok
Mabara
  • Global (EN)
  • CIS (RU)
  • Africa (EN/FR/SW)
  • Asia (EN/ID/BH/ZH/TH/VN)
  • MENA (AR/FR)
  • South America (ES)
  • Turkiye (TR)
  • India (EN)
Sera
  • Ufikivu
  • Kanusho la AI
  • Kanuni ya Maadil
  • Kanuni za Maadali
  • Kanusho la Jumla
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Mitandao ya Kijamii
  • Masharti ya Matumizi

© 2024 QNET. Haki Zote Zimehifadhiwa.

DPMS Category A Registrant (Registration No. A-B-24-08-07890)
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?

  • Swahili