QNET Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Stevie® kwa Kampeni ya Ulinzi wa Wateja katika International Business Awards
QNET, kampuni ya kimataifa ya mtindo wa maisha na ustawi, imepata kutambuliwa kimataifa kwa msimamo wake thabiti dhidi ya udanganyifu. Kampeni ya kampuni hiyo iitwayo QNET Against Scams imetunukiwa Tuzo…
Jinsi ya Kujisajili Kama Msambazaji Huru wa QNET
Je, Uko Tayari Kuanza Safari Yako kama Msambazaji Huru wa QNET (ID)? Huo ni uamuzi mzuri sana! Mchakato wa kujisajili na QNET ni rahisi, na tuko hapa kukuongoza hatua kwa…
Je, Umekuwa Ukinywa Chembechembe za Plastiki?
Je, unajua kuwa umekuwa ukikunywa chembechembe za plastiki bila kujua? Kwa mujibu wa utafiti wa Water Industry Research, maji yasiyosafishwa huwa na wastani wa chembechembe ndogo za plastiki 4.9 kwa…
QNET Inampongeza Profesa Adebayo kwa Kuteuliwa Katika Taasisi ya Sayansi ya Nigeria
QNET, kampuni ya kimataifa ya afya na mtindo wa maisha yenye makao makuu huko Hong Kong, inampongeza kwa fahari Profesa Abiodun Humphrey Adebayo, mwanachama muhimu wa Bodi ya Ushauri ya…
QNET Yaadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani 2025: Ikitetea Mpito wa Haki kuelekea Mitindo Endelevu ya Maisha
Katika kuadhimisha Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani, QNET ilishiriki kwa fahari katika Mkutano na Maonyesho ya LASCOPA yaliyofanyika Lagos, Nigeria. Tukio hilo, lililoandaliwa na Wakala wa Ulinzi wa Watumiaji…
QNET Yashinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) kwenye Stevie® Awards kwa Mchango wake katika Uendelevu, Elimu ya Fedha, na Ubunifu
QNET, kampuni ya kimataifa ya mauzo ya moja kwa moja inayolenga mtindo wa maisha na ustawi wa mwili, imetambuliwa kwa kushinda Tuzo Tatu za Fedha (Silver) za Stevie®, ikionyesha athari…
Hizi Hapa Sababu Zote Zinazofanya Watu Wajiunge na QNET
Kujua "kwa nini" kwako ni muhimu katika kujenga biashara yenye maana na mafanikio. Kwa nini ulifanya uamuzi huu? Nini kinakusukuma kuendelea hata unapokumbana na changamoto? Wakati changamoto zinaonekana kuwa ngumu,…
Fikia Uwezo Wako Kamili na V Business Presentation – Sasa Mtandaoni!
Je, uko tayari kuimarisha safari yako ya mauzo ya moja kwa moja? Wakati ambao umekuwa ukisubiri hatimaye umefika! Tunakuletea V Business Presentation (VBP) – tukio la kila mwezi la kipekee…
Kuelekea V-Africa 2025: Kwa Nini Hufai Kukosa!
Je, uko tayari kwa tukio lisilosahaulika litakalobadilisha safari yako ya QNET? Weka tarehe kwenye kalenda yako kwa sababu V-Africa 2025 inakuja Accra, Ghana kuanzia 20-23 Februari 2025! Hili si tukio…
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Linapokuja suala la kusafiri, safari huanza muda mrefu kabla ya kupanda ndege - huanza mara tu unapofanya booking/maandalizi ya pahali utakaa. Hapo ndipo QVI Vacay inapoingia. Kuwa na App hii ni kama kuwa…
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Kama moja wapo ya makampuni yanayoongoza duniani kwa uuzaji wa moja kwa moja, QNET imejitolea kusaidia watu binafsi na jumuiya kuchukua udhibiti wa afya na furaha zao, na kuishi maisha…
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
QNET, kiongozi wa kimataifa katika ustawi na mtindo wa maisha unaolenga uuzaji wa moja kwa moja, inafafanua upya utunzaji wa saa za kifahari kwa kuzindua saa za Bernhard H. Mayer…